DIRA NA DHAMIRA

Dira

Kuwa na jamii yenye ustawi na maendeleo yanayozingatia usawa wa kijinsia kwa rika zote.

Dhamira

Kukuza ustawi wa jamii kwa watu wote kwa kuimarisha upatikanaji na utoaji huduma bora na endelevu za ustawi wa jamii na kutoa ulinzi na hifadhi ya watoto pamoja na kuwawezesha wanajamii masikini na makundi yaliyo katika mazingira hatarini.